Parimatch: Inavyofikiriwa

Parimatch: Nyota wa mchezo amezaliwa

Ni zaidi ya miaka 25 ya historia, Parimatch imekuwa moja ya majina makubwa katika masuala ya michezo ya kubashiri katika nchi nyingi duniani. Hutoa odds za kibabe, fursa mbalimbali za michezo ya kubashiri, tovuti yenye muonekano rafiki, n.k. BK Parimatch ndio sababu ya kuwa bora zaidi ya washindani wake.

Ilianzishwa mwaka 1994 na hadi sasa kampuni haichachoka kufanya maboresha kila leo. Ina zaidi ya milioni mbili ya watumiaji waliojisajili, jukwaa ambalo litakufanya ndoto zako zitimie. Je, ungependa kushiriki kwenye matukio ya kimichezo ya ulimwenguni?. Parimatch itakuwa sehemu yako na yenye kuaminika.

Kampuni inafungua milango mipya. Kwa mfano, Balozi mpya Diamond Platnumz, Parimatch Afrika inatoa huduma zake kwa watu wengi zaidi na zaidi.

Maelezo kwa ufupi: Toleo la Parimatch mtandaoni pamoja na products

Parimatch TZ inafanya kila kitu kwa lengo la kutoa uzoefu mzuri kwa wataalam wa kubeti ulimwenguni kote.

Parimatch betting ni mtandao mkubwa na wenye faida nyingi, wenye kumpa uaminifu na kujisikia huru. Humpa mwanga mtumiaji kwenye kubashiri na ni rahisi kwa mtu yoyote bila kujali umri, jinsia hata kazi. 

Unahitaji kuweka beti ukiwa matembezini?, hiyo imeisha kwa msaada wa App ya Parimatch ambayo inakuruhusu kuweka beti sehemu yoyote utakayokuwepo iwe safarini, kazini n.k.

Muongozo wa kubashiri: Akaunti ya Parimatch TZ

Ikiwa unahitaji upate faida inayotolewa na Pari bet Tanzania, ni lazima uwe  umejisajili. Akaunti hiyo itakuruhusu kuweza kubeti, kuweka mipangalio ya akaunti wakati wowote, kushirikiana na timu ya watoa huduma wa kampuni na vile vile washirika wa Parimatch wanaoshughulika na usajili.

Unachohitajikia kufanya ili kufungua akaunti ya Parimatch ni kumalisha kujaza fomu ya usajili. Tafadhali, taarifa zinapaswa ziwe za kweli zinazotolewa kwani hutaweza kubadilisha ( neno la siri linapaswa lizingatie namna mfumo unavyotaka)

Kuweka na kutoa pesa kwa bookmaker wa Parimatch

Parimatch betting Tanzania inawajali wateja wake na inawapa njia rahisi na zenye kuamimika za kutumia mtandao wao. Unaweza kutumia huduma za malipo ya M-PESA au Tigo Pesa. Chaguo lako litaunganishwa na namba yako ya simu iliyotumika kujisajili.  Unaweza kupata ufahamu zaidi kupitia . Kampuni ina kuhakikisha malipo kwa wakati unaofaa.

Parimatch Online Betting

Kwa jumla, Parimatch hutoa ofa katika aina mbalimbali za michezo. Pre match na Live betting zote hizi zinaweza kufanywa kwenye soka, basketball, Handball, Cricket, Ice Hockey na Volleybal. Aina hii ya beti hutolewa single, combination, handicaps, parlay.

Kuna ofa maalum ya Cash Out kwa watumiaji wa Parimatch. Unaweza kupata pesa yako kabla ya hata tukio kumalizika. Umeshtuka? Ili kupata maelezo zaidi juu ya kufanya beti pitia 

Parimatch Online Betting: Ungana nasi

Miongoni mwa faida za Parimatch dhidi ya watoa huduma zingine za kubashiri michezo ni kutoa msaada wake wa dhati na ufikiaji uliokuwa bora. Wakati wote wapo kwaajili ya kukusaidia juu ya maswali uliyokuwa nayo.

Kwanza kabisa, unaweza kupata huduma kwa msaada saa 24 siku saba za wiki kwa kutumia njia rahisi. Kipengele cha FAQ kitakupa muongozo wa baadhi ya maswali yako na hapo utakuwa umeweza kuendelea vizuri.Utaelewa mambo yote ya kubashiri na mikakati yake.

Mbali na hilo, unaweza kuwasiliana na Parimatch online betting kupitia barua pepe: support@parimatch.co.tz. pia unaweza kutuma maswali yako mtandaoni na watoa huduma wetu watakufikia na kukujibu

Parimatch pia inaendesha shughuli zake katika kurasa za kijamii. Mbali na nakala zinazowekwa kwenye tovuti ambapo utaweza kupata kuona ofa mbalimbali zinazotolewa kwenye Twitter na LinkedIn.