M-PESA: Njia mpya ya malipo ya Parimatch

Haijalishi upo eneo gani, Parimatch ipo makini muda wote katika kutoa taarifa za kubeti michezo na huduma bora kwa wapenda kubeti kutoka Tanzania na sehemu zingine za ulimwenguni. Na hiyo ndio sababu inayowatofautisha na majukwaa mengine ya kubeti, hatutoacha kuboresha na kubuni njia rahisi za kuweka beti popote utakapokuwepo na wakati wowote ule.

Mbali na kuboresha App hivi karibuni, Parimatch imefungua fursa mpya kwa watumiaji wa Vodacom. Kwa mtazamo huu, huduma ya M-PESA inapatikana kwa urahisi.

Huduma hii ina faida gani? Kwanza kabisa, ni huduma ambayo inamsaidia mtumiaji kufanya malipo moja kwa Parimatch kupitia simu yake ya kiganjani. Pili, Njia hii ni ya haraka kufanya malipo kwenye akaunti (Kuweka na kutoa pesa kwa pamoja)

Chagua M-PESA kama njia inayotegemewa katika malipo na Parimatch na ufurahie michezo mingi ya betting (michezo, maonyesho, matukio ya kisiasa, n.k). Haijalishi ni aina gani ya betting unayopendelea- pre-match au Live- M-PESA inakuhakikishia malipo kwa wakati ili usiweze kupoteza nafasi hata moja ya kushinda na Parimatch.

Kaa mkao wa kula na ufahamu zaidi kuhusu Vodacom. Uko tayari, kweli, nenda!

Hatua kwa hatua M-PESA 

Ikiwa wewe ni miongoni mwa watumiaji wa Vodacom na M-PESA, basi haitokuwa na changamoto nyingi kubwa kwako. Lakini, ikiwa ni mgeni kwako basi timu yetu imekuandalia kila kitu kwaajili yako ili uweze kupata uzoefu wa kutumia Parimatch. 

Fuata maelekezo haya chini mafupi na utumie Vodacom kama pro:

 • piga simu Vodacom kupitia *150*00#;
 • Jaza nafasi ya «Lipa Bili» na ubonyeze;
 • weka namba ya biashara ya Parimatch;
 • Ingia (ingiza namba yako ya simu na neno la siri katika sehemu maalum);
 • Thibitisha malipo.

Sasa uko tayari kuanza kucheza na Parimatch!

Kufungua akaunti yako ya M-PESA

M-PESA ni huduma inayofaa, ni ya haraka na salama kwenye kufanya miamala. Inakuwezesha kufanya malipo mtandaoni kwa kupitia simu yako ya mkononi, njia hii ni rafiki kwa watumiaji ambayo inakupa uhuru wa kuweka pesa kwenye jukwaa letu la kubashiri michezo.

Ila ikiwa una mashaka kuwa ni njia ipi sahihi ya kutumia Vodacom na M-PESA kwa ufanisi, angalia maelekezo yetu. Yatakusaidia kutengeneza akaunti kwa uwepesi kabisa:

 • Hatua ya 1. Kwanza kabisa, unapaswa kupiga *111#. Na itakupeleka kwenye orodha ya «My Phone».
 • Hatua ya 2. Baada ya kupata orodha, chagua chaguo 4.
 • Hatua ya 3. Unachohitajika kufanya zaidi ni kubonyeza 1.
 • Hatua ya 4. Mfumo utahitaji taarifa zako. Tafadhali, uwe muangalifu wakati unaingiza.
 • Hatua ya 5. Chagua lugha ambayo ungependa kuitumia katika akaunti.

Baada ya kumaliza hatua hizo, utapokea uthibitisho wa SMS. Itakusaidia, unaweza kumaliza mchakato wa usajili.

Faida uzipatazo ukitumia M-PESA

Ikiwa haujui kabisa kwanini unapaswa kuchagua M-PESA kati ya njia zingine za malipo, hapa kuna sababu kuu za kufanya hivyo:

 • Usajili rahisi — Mfumo wa Vodacom hufanya install automatic haraka na kwa wepesi iwezekanavyo. Unayohitajika kufanya ni kufuata tu maelekezo. Inachukua dakika chache kupata akaunti yako ya M-PESA.
 • Unaenda na muda- Wakati njia zingine zikiwa zina usumbufu wa hapa na pale kwenye mtandao lakini hii ni ndio kiboko yao. Kwa upande mwingine, malipo hufanyika kwa haraka bila ya vikwazo. Nini kingine unachohitaji katika karne hii ya 21?
 • Makato madogo — Kutumia huduma za kibenki inaweza kuwa na thamani kubwa. Ukiwa na M-PESA, utaweza kuweka pesa na kufanya malipo bila makato makubwa ya ziada.
 • Upatikanaji wa haraka — Haina kikomo cha muda wala nafasi tena. Hii ina maanisha kuwa upo huru kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Parimatch na ufurahie jukwaa letu lenye kila aina ya michezo ulimwenguni.

Je, kuna umuhimu gani kuweka pesa kupitia Vodacom?

Kujiandikisha kwenye Vodacom M-PESA ina maanisha kuwa umemaliza shida zote. Unapotumia njia hii kuweka pesa Parimatch, utaratibu huu wa kuweka pesa utakuja kukusaidia. Kiukweli inaweza ikawa na ugumu kwa watumiaji wasiojua teknolojia kutumia hii. Lakini dhumuni letu ni kuifanya kuwa nyepesi kwa kila mmoja. Jambo kubwa hapa ni kukumbuka kanuni: algorithm ni sawa kwa kila unapoweka pesa.

Mara tu utakapokuwa na pesa kwenye akaunti yako kubeti, utakaribishwa kuangalia utabiri wako na ustadi uliokuwa nao, pamoja na uvumbuzi kwa msaada wa jukwaa linaloongoza kwa betting.

Kwa hivyo, wacha tuanze na yenye umuhimu!

Hatua ya 1 -Kupiga huduma ya Vodacom

Mara tu utakapokamilisha kutengeneza akaunti yako ya M-PESA na kuithibitisha, una uwezo wa kutoa njia nyingi. Ili kufikia malipo, unapaswa kupiga *150* 00#.

Hatua ya 2 — Kulipia Bili

Baada ya kupiga namba kutoka kwenye hatua iliyopita, utaunganishwa kwenye mfumo wa simu. Ni moja kwa moja, utapewa chaguo kadhaa zinazowezekana. Ili kuanza mchakato wa kulipa, bonyeza chaguo la nne.

Hatua ya 3 — Endelea na Mchakato

Basi mfumo utakuhimiza ubonyeze 3. Katika hatua hii, itakuwa muhimu kuweka taarifa ya kampuni ambayo ungependa kulipia bili. Usisahau kuingiza namba ya kumbukumbu ya biashara ya Parimatch.

Hatua ya 4- Ingiza namba ya biashara ya Parimatch

Ikiwa hauna uhakika ambapo unaweza kupata namba sahihi, tafadhali, usijali. Kila kitu ni rahisi kama ABC: ni 351144. Acha mfumo uithibitishe.

Tafadhali, hakikisha unaingiza namba hii kwa usahihi. Ikiwa utafanya makosa wakati wa hatua hizi, matokeo yanaweza kuwa mabaya. Kiukweli, unaweza kushindwa kufanya muamala. Lakini, kesi mbaya ni pamoja na kuweka akaunti isiyo sahihi.

Kwa hivyo, tafadhali, kumbuka kuwa namba ya kuingia kama namba ya biashara ya Parimatch ya kuweka pesa ni 351144 tu.

Hatua ya 5 — Fuata Maelekezo

Hatua inayofuata inahitaji uweke namba yako ya simu. Kwa hivyo unapaswa kuingiza namba ya simu ambayo imeunganishwa na akaunti yako kwenye Vodacom. Hii itawezesha jukwaa kudhibiti mechi kati ya mtu na akaunti.

Hatua ya 6 — Chagua kiasi cha kuweka pesa

Kiukweli, mfumo utakuuliza kiasi unachotaka kuweka kwenye pesa kwenye akaunti ya Parimatch kupitia M-PESA. Kwa mtazamo huu ni bora kuangalia mara mbili kiwango cha pesa kinachofaa. La sivyo utahijika kuanza mchakato upya

 1. Tafadhali, usisahau kuhusu sheria za kamari zinavyotaka na hakikisha unaweka jumla ya kiasi cha pesa kinachohitajika.

Mbali na hilo, Parimatch daima hutoa bonasi maalum kwa wageni wapya. Kwa mtazamo huu, kampuni inatoa bonasi ya kukaribisha kwa kiasi cha 20,000 TSH.

Unapoweka beti kwa mara ya kwanza ya 10,000Tsh (Lakini kuna kikomo chake) weka pesa inayofaa uwe miongoni mwa watakaofaidika na bonasi hii

Hatua ya 7 — PIN Code

Kama ilivyoelezwa hapo juu, wakati wa kusajili akaunti yako, itakuwa muhimu kusajili namba ya PIN. Kwa kweli ni hatua muhimu: inaruhusu kulinda akaunti yako kutokana na utumiaji usioidhinishwa.

Hatua ya 8 — Uthibitisho wa muamala

Inaonekana kwamba malipo yalifanyika wakati ulipoingiza PIN yako. Lakini usiwe wa haraka katika generalization. Haya ni makosa ya kawaida kwa watumiaji wengi: wanasahau kuthibitisha malipo. Usiweke simu yako mbali mapema sana, wakati mchakato wa kuhifadhi haujamalizika!

Kuthibitisha malipo, unapaswa kubonyeza 1. Baada ya hatua hii kufanywa, fedha zako hupelekwa Parimatch moja kwa moja. Basi uko tayari kwenda kwa michezo ya betting ama kwenye kompyuta yako, au kwenye kifaa chako cha mkono.

Tafadhali, kumbuka kuwa inachukua muda kwa pesa «kufikia» akaunti yako ya Parimatch. Kawaida, haichukui muda mrefu.

Lakini, ikiwa kuna hitilafu imetokea au unahitaji ushauri, kila mteja anakaribishwa kuwasiliana na watoa huduma wetu kwa msaada. Zinapatikana kupitia Live Chat au simu 24/7.

FAQ

 1. Inachukua muda gani muamala wa Vodacom kufikia jukwaa la ubashiri?

Kawaida, akaunti yako inapaswa kuonyesha fedha zilizopokelewa mara moja au ndani ya masaa machache baada ya kuweka pesa.

 1. Je! Ninawezaje kuangalia muamala kama ulifanikiwa?

Ili kuhakikisha kuwa pesa zimetumwa kweli, unakaribishwa kurudi kwenye akaunti yako. Kwanza kabisa, hakikisha kuwa kweli ulithibitisha malipo. Ikiwa sio kesi yako, basi, tafadhali, subiri kwa masaa 24 kupata mchakato huu umekamilika.

Ikiwa umekamilisha hatua zote zilizoelezewa lakini matokeo yake ni ya kukatisha tamaa, ni wakati mzuri wa kuwasiliana na timu ya msaada ya jukwaa.

Unaweza kuwafikia kwa njia nyingi. Tumia 0800787878 au wasiliana kupitia support@parimatch.co.tz.

Kwa ufupi

Kampuni yetu ina bonasi maalum kwaajili yako: ikiwa hujaelewa au unataka kuwapendekeza wengine kuchagua huduma za M-PESA na kuelezea utayari wakati huo huo, bonyeza hapa

Sahau kuhusu kutembelea bookies na kulipa na pesa taslimu! Ukiwa na M-PESA kutoka Vodacom, haijawahi kuwa ngumu kufurahia kubeti na Parimatch. Jiunge na timu yetu na upate faida zote za betting za kisasa